Katika kunogesha tamasha lake kubwa la Wasafi Beach Party, hitmaker huyo anamdondosha hasimu mkubwa wa mchumba wake Zari, Huddah Monroe. Kama umesahau, Huddah aliwahi kuingia kwenye bifu kali na Zari baada ya kudai kuwa amewahi kutembea na Diamond na kwamba staa huyo ni ‘mali ya umma.’
Diamond ameweka picha ya mrembo huyo kwenye Instagram akiwa ameipa kamera mgongo na kuwataka mashabiki wake kubashiri ni nani.
Hii ni picha nyingine ya Huddah akiwa na vazi hilo:
Katika kuthibitisha kuwa anakuja, mrembo huyo alipost video Instagram akiiimba wimbo maarufu wa Darassa, Muziki na kuandika: Coming HOME soon…
Niliota naolewa TZEEE,Single men mkuje kwa wingi tukamilishe ndoto
Na blah blah blahhh Sitaki kusikia…. Kamwili kangu kanatosha kujigamba.. #mistressofalltrades.”
Picha nyingine Ambayo amoebas
Nguo hiyo
Tukurudishe nyuma kwenye bifu ya Zari na Huddah kwa ujumbe huu ambao mrembo huyo wa Kenya aliupost Snapchat July 21, 2016.
0 Comments