Licha ya Wakenya kulalamika sana ujio waChris Brownmiezimichache iliyopita katika ardhi yao, mapenzi yao bado yapo kwa msanii huyo na kazi zake.Baada ya kuachia ngoma ya“Party”ambayo amewashirikishaUsherpamojanaGucci Mane, Wakenya wameingia kwenye listi kwa kushika nafasi ya kwanza kwa kununua wimbo huo wa Chris Brown wa“Party” kwenye mtandao wa Itunes.Hii ishu inaweza kuwa ni jambola kawaida kwa baadhi ya watu,lakini najua kwa upande waChris Brownitakuwa ni jambo kubwa kwani moja ya vitu ambavyoChris brownanavipenda kuona kwa mashabiki wake ni“true love”, mashabiki ambao wanasapoti muziki na kazi zake, licha ya kuongoza kuinunua ngoma hiyo, hata Listi ya ngoma ambayo inafanya vizuri katika playlist ya Kenya ni wimbo huohuo waPartywaChris Brown
0 Comments