Msami mi ndo niliyeanzisha jina la Simba sio Diamond

Mkali wa Kudance na Kuimba Kutoka +255, @msamibaby amesema kuwa yeye ndio aliyekuwa muasisi wa jina la Simba kabla hata Diamond Platnumz Hajaanza Kulitumia
.
.
Akizungumza kwenye #thePlaylistMsami amesema kuwa kitambo alianza kujiita Simba na walikuwa wakitaniana sana na @moseiyobo na baadae@diamondplatnumz ndio Akapita Nalo na Kulitumia Mpaka leo

Post a Comment

0 Comments