DARASSA APEWA USHAURI HUU NA DAKTARI BAADA YA AJARI ALIOIPATA


Msanii wa hiphop  kutoka  bongo anafanya Poa na ngoma ya muziki darassa ameshauriwa na madaktari Kua apunguze Kufanya shoo kwa muda kutokana na ajari alioipata na kwa mujibu wa darassa imeonekana baada ya vipimo Kua alipata maharajah Katika kichwa chake Lakini inashughulikiwa na madaktari na utakua Sawa Haya Ndio maneno ya darassa


Post a Comment

0 Comments