Director hanscana amesema nyimbo ya diamond platnumz nasema nawe ndo video iliompa shida wakati wa kushoot,hanscana alsema video Ile kwa Mara ya Kwanza walienda kushoot Maeneo ya manzese Kitu Ambacho kilifanya watu wajae kumtazama Diamond ikapelekea Kushindwa kushoot kutokana na kundi kubwa la watu,ikabidi waelekee Zanzibar na Kule napo watu Wakajaa Ile kuwazuia Ikawa ni taabu yaani kitu ambacho kilipa wakati MGUMU Sana hanscana amezungumzia kupitia255 ya cloudsfm
0 Comments