Rick Ross Amtambulisha meneja wake mpya

Baada ya kusambalatisha picha zote za Diamond Platnumz kwenye page yake ya Instagram Boss Rick Ross amemtambulisha meneja wake mpya ambaye anafahamika kwa jina la  Juan Madrid ambaye ni mkongwe kwenye Tasnia ya Muziki .



Kwa mujibu wa Billboard Juan Madrid alikuwa katika menejiment timu ya Tuzo za Grammy kupitia kipindi cha TV na pia alikuwa akijihusisha na muziki , ata hivyo MTU mzima Rick Ross Anatarajia kuachia album yake  aliyoipa jina la PORT OF MIAMI 2 BORN TO KILL  mapema mwaka huu 2018 


Post a Comment

0 Comments