Kwa mujibu wa Chombo cha habari Sina kutoka China kikiambatanisha repoti kutoka kwa wizara inayoshughulikia Sheria za Vyombo vya habari ,machapisho Radio,Filamu na Television kutoka nchini China ( SAPPRFT), IImezuia kutohusishwa kwa waigizaji wenye Tattoo na kupiga marufuku Utamaduni wa kihiphop na kuzuia kuruka kwenye vyombo vya habari nchini China .
Gao Changli, Ambaye ni Director wa idara hiyo ameamuru TV nchini humo kufata sheria na kutokuzikiuka .
Sasa wale wakina 21 savage,Future,Drake hutowasikia kama upo China
0 Comments