Dakika chache baada ya video inayowaonesha P-Square na kaka yao, Jude Okoye wakizichapa ofisini kwa Mwanasheria wao, Mwanasheria huyo ameibuka na kusema video hiyo si ya leo, ni ya mwaka 2016, hivyo watu waache kuchafua na kusambaza stori za uzushi,
"In fact, the incident in the video circulating online happened sometime around May, 2016."- ameandika Mwanasheria wao, Festus Keyamo
Mbali na yote yanaondelea kwa sasa, Mwanasheria huyo, amedai kuwa Mazungumzo yanaenda vizuri na wakali hao watarudi pamoja tu,
"We are of the strong opinion that the brothers would eventually put away their differences and come back stronger."- Festus Keyamo.

0 Comments