Huu ndo muonekano mpya wa Yusufu Manji baada us kukaa mahabusu kwa muda mrefu
Manji apikutwa na makosa ya kumiliki muhuri wa kibari bila ruhusa pia magwanda ya kijeshi na kutokuwa na kibari cha wafanyakazi wake katika kampuni yake .
Kesi yake bado inaendelea huku Hali yake ya kiafya ikizidi kutiliwa shaka
0 Comments