Nyota ya muziki wa Nigeria, Runtown amekanusha taarifa kuwa aliuza wimbo wa #AYE kwa Star mwenzake Kutoka Nigeria .
Runtown amesema wakati akihojiwa na kituo cha punch nchini Nigeria huku akieleza " Mimi niliandika wimbo mwenyewe lakini sikumuuzia davido ata yeah yeye ukimuuliza atakwambia kuwa hakununua nyimbo kutoka kwangu, sass kama nimemuuzia vep kuhusu hizo nyingine nimemuuzia pia ? Nilifanya vile kuandika ule wimbo kutokana na nafasi ya davido kwenye wimbo wangu GALLARDO.
Aidha Runtown amebahatika kupata mtoto wa kiume wiki hii .
0 Comments