India wanawake hawawaiti waume zao kwa majina

Mamilioni ya wanawake hawajawahi kuwaita waume zao kwa kwa majina yao ikiwa ni njia ya kuwaheshimu.

Lakini pia inaaminika kuwa kumuita mume kwa jina lake inaweza kumletea mke bahati mbaya na kupunguza maisha yake. .

Pia kuivunja tamaduni kunaweza kumletea mwanamke adhabu kali.

Kwenye utamaduni wa India, Wanaume ni sawa na miungu na kuanzia umri mdogo wanawake hufunzwa kuwaheshimu.

Post a Comment

0 Comments