Baraka da prince akataa kuwa chini ya Alikiba

Rockstar 4000 ni miongoni mwa label kubwa afrika inayowasimamia wasanii wakiwemo wakali kutoka bongo Baraka da Prince, Alikiba pamoja Ommy dimpoz ambaye amejiunga na label hiyo week jana.

Baada ya alikiba kutangazwa na label hiyo kuwa ni moja kati ya wamiliki na music director haikuchukua muda wakamsaini ommydimpoz .
Leo kupitia kipindi cha 5select ya eastafrika tv Baraka da Prince amesema kuwa yeye anafahamu kuwa label imemsaini  ommydimpoz pia alikiba kuwa music director lakini hajaeleweshwa chochote kuhusu ishu hiyo.

Mimi nafahamu kuwa ommydimpoz kasainiwa ata alikiba kuwa music director lakini siwezi kuizungumzia kwa sababu hawajanitaarifu chochote kwahiyo nikizungumzia ntaongea uongo pindi wanafanya meeting southAfrika mi Nilikuwa Nairobi na mambo mengine .

Baraka da prince pia amesema yeye hayupo chini ya alikiba yupo chini ya rockstar  hii Ni baada ya kuulizwa kuwa umekubari kuwa chini ya alikiba

Post a Comment

0 Comments