Tamasha kubwa lililofanyika jumamosi iliopita likienda kwa jina la Vodacom wasafi beach party iliofanyika jangwani sea breeze Dar es salaam ilitegemea Kuwakutanisha mafahari wawili kutoka Kenya huddamonroe na Vera sidika Kama mahost wa show Hiyo Lakini kilivhotokea Mwanadada huddah kuikacha party Hiyo Dakika ya mwisho
Mwanadada Huyo Katumia MTANDAO wa snapchat kueleza sababu iliomfanya ashindwe kuhudhuria party Hiyo
Huddah ameandika nakusema walishindwa kwenda kwenye makubaliano yeye na Diamond Kama walivyopanga na Ndio sababu iliopelekea Mimi kuikacha Dakika ya mwisho
Hata hibyo party Hiyo ilioshudiwa na watu Wengi na kushudia performance kutoka kwa KCEE kutoka Nigeria na wasanii kutoka Tanzania na mahost wakiwa ni Bdozen kutoka XXL ya cloudsfm, Vera Sidika,na fabiola kutoka Uganda
WASAFI festival imemalizika jumapili hii Iringa Samora stadium nakushudia na watu waliojaaa Katika Tamasha hilo
0 Comments