HOUSE BOY AWAPA MIMBA MABINTI WATATU WA BOSS WAKE

tarrifa zilizolipotiwa kwenye vyombo vya habari mbali mbali nchini Kenya zimedai kijana mmoja ambaye anafanya kazi za ndani maarufu kama { house boy } amewapa ujauzito mabinti wa tatu wa familia moja katika nyakati tofauti .

kijana huyo amekiri baada ya wazazi wa mabinti hao kubaini kuwa alianza kutembea na binti wa pili  na binti wa kwanz alipogundua kijana huyo akataka atembee naye ili asitoe siri mara baada ya binti wa tatu kufahamu naye akataka na kukiri asipopewa penzi na kijana huyo atamsema kwa mzazi wake .

mabinti hao watatu wamekuwa wakizuiliwa kutoka nje kutokana na wazazi wao kuwa watu wa maadili sana 

taama hapa kwenye video hii



Post a Comment

0 Comments