Mkali wa hiphop kutoka bongo anaewakilisha kundi la WEUSI Joh Makini Amepost Cover ya Wimbo wake ambao utachezwa kwa mara ya kwanza na kituo kikubwa Afrika cha MTV Base kutoka south Africa.
Wimbo huo uliosubiriwa kwa hamu kubwa na wapenzi wa muziki Afrika hasa Tanzania Umepewa jina la 'KATA LETA ' licha ya Joh Makini kupost cover hiyo lakini haijatajwa tarehe itakayotoka wimbo huo akiwa amemshurikisha Davido kutoka Nigeria
0 Comments